• HABARI MPYA

    Sunday, February 09, 2014

    MASHUSHU WA AHLY HAWA HAPA, WALIKUWA BIZE HAO JANA TAIFA...YANGA KAZI WANAYO KWA KWELI

    Jamaa hawa watatu wa kwanza kutoka kushoto wametoka klabu ya Al Ahly ya Misri na walikuwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana kuiangalia Yanga SC ikimenyana na Komorozine ya Comoro katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika, katikati ni kocha Msaidizi wa timu hiyo bingwa Afrika Ali Maher. Ikumbukwe mshindi wa jumla kati ya Yanga na Komorozine baada ya mchezo wa marudiano wiki mbili zijazo, atamenyana na Ahly katika Raundi ya Kwanza, hivyo jamaa walikuja kuangalia soka ya wapinzani wao,ili wakaifanyie kazi katika maandalizi yao.
    Ali Maher akiwa bize jana Taifa

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MASHUSHU WA AHLY HAWA HAPA, WALIKUWA BIZE HAO JANA TAIFA...YANGA KAZI WANAYO KWA KWELI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top