• HABARI MPYA

    Sunday, February 09, 2014

    JAMANI TWENDENI CHAMAZI LEO TUKAISAPOTI AZAM, TIMU YA TANZANIA KAMA SIMBA NA YANGA TU

    Kikosi cha Azam FC leo kinamenyana na Ferroviario de Beira ya Msumbiji katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Awali Kombe la Shirikisho Afrika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Wapenzi wa michezo Dar es Salaam wanaombwa kujitokeza kwa wingi kuishangilia timu hiyo ili kuisapoti ifanye vizuri. Ushindi kwa Azam leo itakuwa sifa kwa taifa letu, hivyo wapenzi wa soka wamiminike Chamazi leo kuwaonyesha Msumbiji kwamba Watanzania wanapenda timu zao. 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JAMANI TWENDENI CHAMAZI LEO TUKAISAPOTI AZAM, TIMU YA TANZANIA KAMA SIMBA NA YANGA TU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top