• HABARI MPYA

    Wednesday, February 05, 2014

    HUYU MTOTO MESSI HUYU JAMANI, NYIE ACHENI TU, HII CHENGA YAKE NUKSI

    Ramadhani Singano 'Messi' kulia, leo alimpiga chenga moja ya hatari beki wa Mtibwa Sugar, Hassan Ramadhani kushoto Uwanja wa Jamhuri, Morogoro wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya timu hizo, uliomalizika kwa sare ya 1-1. Ilikuwa sawa na chenga ambayo alimpiga beki wa Yanga SC, Kevin Yondan Desemba 21, mwaka jana Uwanja wa Taifa, Simba SC ikishinda 3-1 mechi ya Nani Mtani Jembe hadi beki huyo akamchezea rafu kiungo huyo wa Msimbazi na kutolewa nje kwa kadi nyekundu.
    Angalia mambo hayo
    Ilianzia hapa alipopokea mpira. Picha ya juu kabisa akamgeuza, inayofuatia anajiandaa kumgeuza 
    Hapa amekwishamuacha, anafanya safari

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HUYU MTOTO MESSI HUYU JAMANI, NYIE ACHENI TU, HII CHENGA YAKE NUKSI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top