• HABARI MPYA

    Tuesday, February 04, 2014

    CHELSEA WAIKALISHA MAN CITY ETIHAD, ARSENAL WATULIZA ROHO KILELENI LIGI KUU ENGALND

    UCHAMBUZI wa haraka ni kwamba, Chelsea imeziweka wazi mno mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya England, kufuatia ushindi wake wa bao 1-0 dhidi ya wenyeji Manchester City, Uwanja wa Etihad usiku huu.
    Shukrani kwake mfungaji wa bao hilo pekee Ivanovic dakika ya 32 na sasa Chelsea inatimiza pointi 53 sawa na Manchester City iliyo nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi kwa wastani wake mzuri wa mabao.
    Matokeo hayo yanakuwa faraja zaidi kwa Arsenal ambayo sasa inatuliza roho kileleni mwa Ligi Kuu kwa pointi zake 55, baada ya timu zote hizo kucheza mechi 24.

    Tumewashikisha adabu: Ivanovic akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao pekee la ushindi usiku huu
    Park the bus? Not me: Mourinho looks happy with his team's effort as Manuel Pellegrini shouts orders
    Kupaki basi? Siyo mimi: Mourinho akionekana mwenye furaha na matokeo ya timu yake,huku Manuel Pellegrini akifoka
    Eyes wide shut: Manchester City's Edin Dzeko and Chelsea's Nemanja Matic fight for the ball
    Edin Dzeko wa City na Nemanja Matic wa Chelsea
    Boot it away: Petr Cech and Gary Cahill
try and clear the ball before Alvaro Negredo can get to it
    Kipa Petr Cech na beki wake Gary Cahill wakijaribu kuondosha mpira hatarini kabla Alvaro Negredo hajaupata
    Fight for the ball: City's Martin Demichelis competes with Eden Hazard for the ball

    Martin Demichelis na Eden Hazard 
    Close, but not close enough: David Silva sees his effort go agonisingly wide
    David Silva alipiga nje hapa
    Close ball control: Hazard gets the better of both Pablo Zabaleta and Demichelis

    Hazard akiwatoka Pablo Zabaleta na Demichelis
    Winding runs: Hazard was a threat for Chelsea all evening
    Hazard aliwasumbua mno City
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHELSEA WAIKALISHA MAN CITY ETIHAD, ARSENAL WATULIZA ROHO KILELENI LIGI KUU ENGALND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top