Na Mahmoud Zubeiry, Dar es Salaam
AZAM FC imefanya kitu kimoja cha kiungwana sana kwa Yanga SC, baada ya kuwanyima Uwanja wa mazoezi klabu bingwa Afrika, Al Ahly ya Misiri.
Kocha Msaidizi wa Ahly, ....akiiwa ameambatana na Maofisa wawili wa klabu hiyo walifika leo asubuhi makao makuu ya Azam, Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam kukagua hosteli ya klabu hiyo, Uwanja wa nyasi bandia na za kawaida na gym.

.png)
0 comments:
Post a Comment