| Wachezaji wa Yanga SC wakiwapungia mikono mashabiki wao baada ya mechi ya mashindano ya vijana chini ya umri wa miaka 20 kwa timu za Ligi Kuu ya Bara, maarufu kama Kombe la Uhai, dhidi ya Coastal Union ya Tanga, ambayo walishinda 1-0 Uwanja wa Karume, Dar es Salaam asubuhi ya leo. |
0 comments:
Post a Comment