UFARANSA imejiweka hatarini ya kukosa fainali za kwanza za Kombe la Dunia baada ya miaka 20, kufuatia kipigo cha mabao 2-0 mbele ya Ukraine usiku huu.
Katika mchezo huo ambao Ufaransa ilimpoteza Koscielny aliyetolewa nje kwa kadi nyekundu dakika ya 90, mabao ya Ukraine yalifungwa na Roman Zozulya dakika ya 61 na Andriy Yarmolenko kwa penalti dakika ya 83.
Kikosi cha Ukraine kilikuwa: Pyatov, Khacheridi, Shevchuk, Fedetskiy, Kucher, Yarmolenko, Stepanenko, Konoplyanka/Gusev dk90, Rotan, Edmar/Bezus dk76, Zozulya/Seleznyov dk86.
Ufaransa: Lloris, Debuchy, Abidal, Koscielny, Evra, Nasri (Valbuena 80), Matuidi, Pogba, Giroud/Benzema dk70, Ribery, Remy/Sissoko dk64.
Koscielny akiwekeana mikwara na kiungo wa Ukraine, Yevhen Konoplyanka



.png)
0 comments:
Post a Comment