• HABARI MPYA

    Saturday, November 16, 2013

    RONALDO AING'ARISHA URENO DHIDI YA SWEDEN YA IBRAHIMOVIC KOMBE LA DUNIA

    BAO pekee la Cristiano Ronaldo dakika ya 82 limeipa usindi wa 1-0 Ureno katika mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Dunai usiku huu dhidi ya Sweden, Uwanja wa Estadio da Luz.
    Ureno sasa itahitaji kuulinda ushindi huo katika mchezo wa marudiano Jumanne mjini Stockholm ili kukata tiketi ya Brazil.
    Kikosi cha Ureno kilikuwa: Patricio, Pereira, Coentrao, Veloso, Pepe, Regufe Alves, Meireles/Josue dk78, Moutinho, Postiga/Almeida dk66, Nani na Ronaldo
    Sweden: Isaksson, Lustig, Olsson, Elm/Wernbloom dk72, Nilsson, Antonsson, Larsson, Kallstrom/Svensson dk77, Ibrahimovic, Elmander/Gerndt dk88 na Kacaniklic.

    Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia bao pekee la ushindi UrenoClash of the titans: Portugal's Cristiano Ronaldo (left) and Sweden's Zlatan Ibrahimovic shake hands before kick off
    Vita ya wakali: Cristiano Ronaldo w Ureno (kushoto) na Zlatan Ibrahimovic wa Sweden wakisalimiana kabla ya mechiTalisman: Zlatan Ibrahimovic's unique ability represents Sweden's greatest chance of World Cup qualification
    Mkali wa mabao: Zlatan Ibrahimovic ndiye tegemeo la Sweden kufuzu Kombe la Dunia
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO AING'ARISHA URENO DHIDI YA SWEDEN YA IBRAHIMOVIC KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top