• HABARI MPYA

    Saturday, November 16, 2013

    SHAMRASHAMRA ZA NANI MTANI JEMBE JANA TANZANITE PARK...

     Kundi la Black Warriors likiendelea kutumbuiza kwenye kampeni ya ‘Nani Mtani Jembe Tour’  kwenye baa ya Tanzanite Park  iliyopo Kimandoro, Arusha  ambayo ipo kanda ya kaskazini na mashariki  inayojumuisha pia  mikoa, Kilimanjaro na Tanga ambapo  mashabiki wa timu hizo wanatakiwa kuzipigia kura timu zao za Simba na Yanga  ili zipate pointi nyingi zitakazowezesha kupata fedha nyingi.Jumla ya Tsh. 100Milioni kushindaniwa.

     Wadau wa Simba na Yanga wakionyesha furaha zao wakati wa timu ya kampeni ya ‘Nani Mtani Jembe Tour’  ilipokuwa kwenye baa ya Tanzanite Park  iliyopo Kimandoro, Arusha  ambayo ipo kanda ya kaskazini na mashariki  inayojumuisha pia  mikoa, Kilimanjaro na Tanga ili kuhamasisha upigaji kura kwa mashabiki wa Simba na Yanga  ili zipate pointi nyingi zitakazowezesha kupata fedha nyingi.Jumla ya Tsh. 100Milioni kushindaniwa.


    Mshereheshaji wa kampeni ya ‘Nani Mtani Jembe Tour’, Pendo Robert akimvika jezi ya Simba, Frank James baada ya kushinda kwa kujibu maswali yanayohusiana na bia ya Kilimanjaro Premium Lager  kwenye baa ya Tanzanite Park  iliyopo Kimandoro, Arusha  ambayo ipo kanda ya kaskazini na mashariki  inayojumuisha pia  mikoa, Kilimanjaro na Tanga ambapo  mashabiki wa timu hizo wanatakiwa kuzipigia kura timu zao za Simba na Yanga  ili zipate pointi nyingi zitakazowezesha kupata fedha nyingi.Jumla ya Tsh. 100Milioni kushindaniwa.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SHAMRASHAMRA ZA NANI MTANI JEMBE JANA TANZANITE PARK... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top