MABAO mawili ya Alexis Sanches yameipa Chile ushindi wa 2-0 dhidi ya England Uwanja wa Wembley usiku huu katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa.
Sanchez alifunga mabao hayo katika dakika za saba na dakika ya tano ya muda wa nyongeza baada ya kutimu dakika 90.
Kikosi cha England kilikuwa: Forster, Johnson, Baines, Milner/Defoe dk66, Cahill, Jones/Smalling dk57, Wilshere/Cleverley dk71, Lampard/Henderson dk71, Lallana/Barkley dk77, Rooney na Rodriguez/Townsend dk57.
Chile: Bravo, Mena, Gonzalez, Isla/Jara dk59, Fernandez/Gutierrez dk46, Beausejour/Fuenzalida dk82, Medel, Aranguiz/Carmona dk46, Diaz, Alexis, Vargas/Munoz dk71.
Mshindi: Sanchez akiwafungia bao la kwanza washindi
Wakati maalum: Frank Lampard alipewa tunu ya dhahabu baada ya kuichezea mechi ya 100 England



.png)
0 comments:
Post a Comment