Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia mabao matatu Juventus dakika za 49, 67 kwa penalti na 82 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Cagliari kwenye mchezo wa Serie A jana Uwanja wa Allianz mjini Torino, bao lingine likifungwa na Gonzalo Higuain. Hiyo inakuwa hat trick ya 56 kwake na ya 36 kwenye ligi pekee, ambayo ni idadi kubwa tangu Januari mwaka 2008 kwenye ligi tano kubwa za Ulaya PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Chelsea's Bright on 'biggest game of career' against Barca
-
Chelsea captain Millie Bright tells BBC Sport it is the "biggest game of
our careers" as the Blues prepare to take on Barcelona in the Women's
Champions Le...
56 minutes ago
0 comments:
Post a Comment