• HABARI MPYA

  Jumanne, Januari 07, 2020

  RONALDO APIGA HAT TRICK YA 56 JUVENTUS IKISHINDA 4-0 SERIE A

  Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia mabao matatu Juventus dakika za 49, 67 kwa penalti na 82 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Cagliari kwenye mchezo wa Serie A jana Uwanja wa Allianz mjini Torino, bao lingine likifungwa na Gonzalo Higuain. Hiyo inakuwa hat trick ya 56 kwake na ya 36 kwenye ligi pekee, ambayo ni idadi kubwa tangu Januari mwaka 2008 kwenye ligi tano kubwa za Ulaya PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO APIGA HAT TRICK YA 56 JUVENTUS IKISHINDA 4-0 SERIE A Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top