• HABARI MPYA

  Wednesday, March 07, 2018

  YANGA NA TOWNSHIP ROLLERS KATIKA PICHA JANA TAIFA

  Kiungo wa Yanga SC, Juma Mahadhi akimtoka kiungo wa Township Rollers ya Botswana, Kaone Vanderwesthuisen katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Rollers ilishinda 2-1.
  Beki wa Township Rollers akiokoa mpira mbele ya kiungo wa Yanga, Pius Charles Buswita
  Kiungo Mkongo wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi akiuwahi mpira dhidi ya mchezaji wa Rollers 
  Kiungo wa Yanga, Juma Mahadhi akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Rollers, Mthokozisi Msomi 
  Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa akiwatoka wachezaji wa Rollers
  Beki wa Yanga, Kevin Yondan akiokoa mbele ya beki wa Rollers, Mthokozisi Msomi
  Kipa wa Township Rollers, Keeagile Kgosipula akiokoa mpira uliokuwa unaelekea nyavuni kuinyima bao la wazi Yanga
  Refa Pacifique Ndabihawenimana wa Burundi (kulia) akielekeza mpira upigwe wapi baadhi ya wachezaji kuchezeana rafu  
  Kikosi cha Yanga kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Taifa 
  Kikosi cha Township Rollers kabla ya mchezo wa jana Dar es Salaam
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA NA TOWNSHIP ROLLERS KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top