Kiungo wa Yanga SC, Juma Mahadhi akimtoka kiungo wa Township Rollers ya Botswana, Kaone Vanderwesthuisen katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Rollers ilishinda 2-1.
Beki wa Township Rollers akiokoa mpira mbele ya kiungo wa Yanga, Pius Charles Buswita
Kiungo Mkongo wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi akiuwahi mpira dhidi ya mchezaji wa Rollers
Kiungo wa Yanga, Juma Mahadhi akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Rollers, Mthokozisi Msomi
Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa akiwatoka wachezaji wa Rollers
Beki wa Yanga, Kevin Yondan akiokoa mbele ya beki wa Rollers, Mthokozisi Msomi
Kipa wa Township Rollers, Keeagile Kgosipula akiokoa mpira uliokuwa unaelekea nyavuni kuinyima bao la wazi Yanga
Refa Pacifique Ndabihawenimana wa Burundi (kulia) akielekeza mpira upigwe wapi baadhi ya wachezaji kuchezeana rafu
Kikosi cha Yanga kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Taifa
Kikosi cha Township Rollers kabla ya mchezo wa jana Dar es Salaam
REVEALED: Tyrese Maxey's Game 5 heroics against the Knicks never should
have happened, as the NBA announces referees missed a travel
-
The NBA has stated that officials of Tuesday night's Game 5 between the New
York Knicks and Philadelphia 76ers missed a critical travel on Philadelphia
sta...
35 minutes ago
0 comments:
Post a Comment