• HABARI MPYA

    Sunday, March 04, 2018

    MBABE DEONTAY WILDER ALIVYOMCHAKAZA MCUBA JANA MAREKANI

    Bondia Mmaerekani Deontay Wilder (kulia) akimtazama mpinzani wake, Luis Ortiz wa Cuba anayekwenda chini kushoto baada ya kmumuangusha katika raundi ya 10 kwenye pambano la uzito wa juu ngumi za kulipwa usiku wa jana ukumbi wa Barclays Center mjini New York, Marekani. Wilder alishinda kwa Knockout (KO) raundi ya 10 na kutetea taji lake la WBC PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MBABE DEONTAY WILDER ALIVYOMCHAKAZA MCUBA JANA MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top