Bondia Mmaerekani Deontay Wilder (kulia) akimtazama mpinzani wake, Luis Ortiz wa Cuba anayekwenda chini kushoto baada ya kmumuangusha katika raundi ya 10 kwenye pambano la uzito wa juu ngumi za kulipwa usiku wa jana ukumbi wa Barclays Center mjini New York, Marekani. Wilder alishinda kwa Knockout (KO) raundi ya 10 na kutetea taji lake la WBC PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Corteen-Coleman, 18, in England T20 World Cup squad
-
Uncapped left-arm spinner Tilly Corteen-Coleman, 18, is included in
England's squad for the Women's T20 World Cup starting in June.
21 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment