• HABARI MPYA

  Tuesday, March 13, 2018

  MAN UNITED WALIVYOINGIA KAMBINI JANA KUIVAA SEVILLA LEO

  Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford akiingia kambini jana katika hoteli ya Lowry, ambako Manchester United wamekwenda kujiandaa na mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya leo Sevilla Uwanja wa Old Trafford. Mechi ya kwanza timu hizo zilitoka sare ya 0-0 Hispania PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED WALIVYOINGIA KAMBINI JANA KUIVAA SEVILLA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top