• HABARI MPYA

  Thursday, March 15, 2018

  BONDIA MTANZANIA AENDA ULAYA KUPIGANIA UBINGWA NDONDI ZA KULIPWA

  Bondia Iddi Mwera (kulia) akiwa na kocha Rajabu Mhamila 'Super D' (kushoto) na mratibu wa mapambano, Emmanuel Mlundwa (kulia) Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) mjini Dar es Salaam jana usiku wakati wa safari ya kuelekea mjini Riga nchini Latvia kwa ajili ya pambano la kuwania taji la IBA lililo wazi, dhidi ya mwenyeji, Adrejs Podusovs Jumamosi
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BONDIA MTANZANIA AENDA ULAYA KUPIGANIA UBINGWA NDONDI ZA KULIPWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top