• HABARI MPYA

  Saturday, March 31, 2018
  JESUS AFUNGA BAO TAMU MAN CITY YASHINDA 3-1 GOODISON PARK

  JESUS AFUNGA BAO TAMU MAN CITY YASHINDA 3-1 GOODISON PARK

  Mshambuliaji wa Manchester City, Gabriel Jesus akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili dakika ya 12 katika ushindi wa 3-1 d...
  JKT TANZANIA YAIZIMA PRISONS PALE PALE SOKOINE NA KWENDA NUSU FAINALI ASFC

  JKT TANZANIA YAIZIMA PRISONS PALE PALE SOKOINE NA KWENDA NUSU FAINALI ASFC

  TIMU ya JKT Tanzania imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya michuano ya Azam Sports Federation Cup baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenye...
  MKUDE ASAFIRI NA SIMBA SC KWENDA IRINGA KWA AJILI YA MECHI NA NJOMBE MJI JUMANNE

  MKUDE ASAFIRI NA SIMBA SC KWENDA IRINGA KWA AJILI YA MECHI NA NJOMBE MJI JUMANNE

  Na Princess Asia, DAR ES SALAAM KIUNGO Jonas Gerald Mkude ni miongoni mwa wachezaji waliosafiri na kikosi cha Simba SC leo kwenda Iringa k...
  Friday, March 30, 2018
  Thursday, March 29, 2018
  MKUTANO MKUU YANGA KUFANYIKA MEI 5 DAR ES SALAAM KUJADILI MUSTAKABALI MPYA WA KLABU

  MKUTANO MKUU YANGA KUFANYIKA MEI 5 DAR ES SALAAM KUJADILI MUSTAKABALI MPYA WA KLABU

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU ya Yanga inatarajiwa kufanya Mkutano wake Mkuu wa mwaka Mei 5 mwaka huu katika ukumbi utakaotajwa b...
  Wednesday, March 28, 2018
  NGOMA ANAENDELEA KUIMARIKA KAMBINI YANGA MOROGORO KUELEKEA MECHI NA SINGIDA JUMAPILI

  NGOMA ANAENDELEA KUIMARIKA KAMBINI YANGA MOROGORO KUELEKEA MECHI NA SINGIDA JUMAPILI

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI Mzimbabwe wa Yanga SC, Donald Ngoma anaendelea kuimarika katika kambi ya timu hiyo mjini Mor...
  KICHUYA ASEMA SHUGHULI YAKE YA JANA NI SALAMU KWA NJOMBE MJI FC

  KICHUYA ASEMA SHUGHULI YAKE YA JANA NI SALAMU KWA NJOMBE MJI FC

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM WINGA wa kimataifa wa Tanzania na klabu ya Simba, Shiza Kichuya amesema kwamba ana hamu Ligi Kuu ya Vodac...
  JESUS 'NUSU ALIE' BAADA YA KUIFUNGIA BRAZIL IKIILAZA 1-0 UJERUMANI

  JESUS 'NUSU ALIE' BAADA YA KUIFUNGIA BRAZIL IKIILAZA 1-0 UJERUMANI

  Mshambuliaji wa Manchester City, Gabriel Jesus akikaribia kulia kwa furaha wakati anapongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia Bra...
  ISCO APIGA HAT TRICK HISPANIA YAITANDIKA ARGENTINA 3-0

  ISCO APIGA HAT TRICK HISPANIA YAITANDIKA ARGENTINA 3-0

  Sergio Ramos (kushoto) akimpongeza mchezaji mwenzake wa Real Madrid, Isco baada ya kuifungia Hispania mabao matatu dakika za 27, 52 na 74...

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  MAKALA

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  BIN ZUBEIRY WIKI HII

  Scroll to Top