• HABARI MPYA

  Wednesday, February 07, 2018

  MARSEILLE WASHINDA 9-0 KOMBE LA UFARANSA NA KUTINGA NUSU FAINALI

  Wachezaji wa Olympique Marseille wakishangilia ushindi wao wa 9-0 jana dhidi ya Bourg-en-Bresse kwenye mchezo wa Robo Fainali Kombe la Ufaransa Uwanja wa Marcel-Verchere mjini Bourg-en-Bresse, mabao ya 10' Luiz Gustavo dakika ya 10, Dimitri Payet dakika ya 13 kwa penalti, Lucas Ariel Ocampos dakika ya 16, 48 na 71,  Konstantinos Mitroglou dakika ya 20, 40 na 81 na Clinton Mua N'Jie kwa penalti dakika ya 89. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MARSEILLE WASHINDA 9-0 KOMBE LA UFARANSA NA KUTINGA NUSU FAINALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top