• HABARI MPYA

  Tuesday, January 09, 2018

  SERENGETI BOYS WANAVYOJINOA KWA CECAFA CHALLENGE U-17

  Wachezaji wa timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys wakiwa mazoezi leo katika kambi yao hosteli za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Uwanja wa Karume mjini Dar es Salaam. 
  Vijana 43 wameanza kambi ya wiki mbili itakayomalizika Januari 21, mwaka kujiandaa na michuano ya CECAFA Challenge U-17 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SERENGETI BOYS WANAVYOJINOA KWA CECAFA CHALLENGE U-17 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top