• HABARI MPYA

  Wednesday, January 03, 2018

  MESSI NA SUAREZ WALIVYOREJEA KAZINI BARCELONA JANA

  Lionel Messi akiwasili Uwanja wa Ndege wa El Prat mjini Barcelona kwa ndege binafsi jana na familia yake pamoja na wachezaji wenzake wa Barca, Luis Suarez na Javier Mascherano na familia zao pia kutoka kwenye mapumziko ya mwishoni mwa mwaka Argentina na Uruguay (Suarez) PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI NA SUAREZ WALIVYOREJEA KAZINI BARCELONA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top