• HABARI MPYA

    Sunday, December 03, 2017

    RAMOS AWEKA REKODI YA KADI NYEKUNDU NYINGI LA LIGA

    Beki wa Real Madrid, Sergio Ramos akitoka nje baada ya kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 86 kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano katika mchezo wa La Liga dhidi ya wenyeji, Athletic Bilbao uliomalizika kwa sare ya 0-0 Uwanja wa San Mames. Hiyo inakuwa mara ya 19 kwa Ramos kutolewa kwa kadi nyekundu na kuweka rekodi ya mchezaji aliyepata adhabu hiyo mara nyingi zaidi katika La Liga PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RAMOS AWEKA REKODI YA KADI NYEKUNDU NYINGI LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top