• HABARI MPYA

  Sunday, December 10, 2017

  KOCHA JOEL BENDERA NA TAIFA STARS YA JEFF HUDSON WAKIWA MZEE KAWAWA

  Kocha Msaidizi wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Dk. Joel Nkaya Bendera (wa pili kushoto mbele walioketi, sasa marehemu) akiwa katika pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rashid Mfaume Kawawa (katikati, marehemu pia) na kikosi kizima cha Taifa Stars na kocha Mkuu, Muingereza, Jeff Hudson mwaka 1986
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KOCHA JOEL BENDERA NA TAIFA STARS YA JEFF HUDSON WAKIWA MZEE KAWAWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top