• HABARI MPYA

    Monday, January 09, 2017

    WANYONGE WAIKATALIA LIVERPOOL ANFIELD, SARE 0-0 FA

    Kiungo wa Liverpool, Emre Can akiwania mpira wa juu na mchezaji wa Plymouth, David Fox katika mchezo wa Kombe la FA usiku wa jana Uwanja wa Anfield timu hizo zikitoka sare ya 0-0 na zitalazimika kurudiana kuwania kusonga mbele kwenye michuano hiyo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WANYONGE WAIKATALIA LIVERPOOL ANFIELD, SARE 0-0 FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top