• HABARI MPYA

    Saturday, January 21, 2017

    SPURS WAIKATALIA MAN CITY ETIHAD, SARE 2-2

    Dele Alli akijipinda kuifungia kwa kichwa Tottenham Hotspur dakika ya 58 katika sare ya 2-2 na Manchester City leo Uwanja wa Etihad kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao lingine la Spurs limefungwa na Heung-Min Son dakika ya 77, wakati ya Man City yamefungwa na Leroy Sane dakika ya 49 na Kevin De Bruyne dakika ya 54 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SPURS WAIKATALIA MAN CITY ETIHAD, SARE 2-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top