• HABARI MPYA

  Saturday, January 07, 2017

  RONALDO AFUNGA REAL IKIPAA LA LIGA NA KUIFUTA REKODI YA BARCA

  Cristiano Ronaldo (katikati) akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid dakika ya 27 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Granada leo kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Bernabeu.  Mabao mengine ya Real yamefungwa na Isco dakika ya 12 na 32, Benzema dakika ya 21 na Casemiro dakika ya 58. Kwa ushindi huo, Real pamoja na kuifikia rekodi ya Barcelona kucheza mechi 39 bila kufungwa, sasa inaongoza ligi kwa pointi sita zaidi dhidi ya Barca wanaocheza kesho PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AFUNGA REAL IKIPAA LA LIGA NA KUIFUTA REKODI YA BARCA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top