• HABARI MPYA

  Wednesday, January 18, 2017

  MURILLO APIGA BONGE LA BAO INTER MILAN YAENDA ROBO FAINALI KOMBE LA ITALIA

  Jeison Murillo akibinuka tik tak kuifungia bao zuri Inter Milan dakika ya 33 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Bologna usiku wa jana Uwanja wa Giuseppe Meazza na kuiwezesha timu yake kutinga Robo Fainali ya Kombe la Italia baada ya mchezo uliodumu kwa dakika 120 kufuatia dakika 90 kumalizika kwa sare ya 2-2 na sasa itakutana na mshindi kati ya Lazio na Genoa zinazomenyana leo. Mabao mengine ya Inter yalifungwa na Rodrigo Palacio dakika ya 39 na Antonio Candreva dakika ya 98 wakati ya Bologna yalifungwa na Blerim Dzemaili dakika ya 43 na Godfred Donsah dakika ya 73 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MURILLO APIGA BONGE LA BAO INTER MILAN YAENDA ROBO FAINALI KOMBE LA ITALIA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top