• HABARI MPYA

  Wednesday, January 18, 2017

  MAMBO YA SAMATTA JANA GENK IKITOA SARE KOMBE LA UBELGIJI

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta Jumanne akipiga mpira kitaalamu wakati timu yake, KRC Genk ikimenyana na KV Oostende katika mchezo wa Kombe la Ubelgiji Uwanja wa Versluys Arena, Oostende. Timu hizo zilifungana bao 1-1.
  Samatta akijipinda kitaalamu kupiga, lakini bahati mbaya hakufunga
  Samatta nyuma ya mchezaji wa KV Oostende

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAMBO YA SAMATTA JANA GENK IKITOA SARE KOMBE LA UBELGIJI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top