• HABARI MPYA

    Saturday, December 10, 2016

    JOSHUA ULINGONI LEO NA ERIC MOLINA

    Bondia Anthony Joshua (kushoto) akiwa na mpinzani wake, Eric Molina baada ya kupima uzito jana kuelekea pambano lao la usiku wa leo ukumbi wa Manchester Arena kuwania taji la IBF la dunia uzito wa juu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JOSHUA ULINGONI LEO NA ERIC MOLINA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top