• HABARI MPYA

  Thursday, December 15, 2016

  DOGO ALIYEIFUNGA YANGA MAWILI ALA MAISHA JANGWANI

  Mshambuliaji chipukizi wa JKU, Emanuel Martin akisaini Mkataba wa kujiunga na Yanga SC jana. Mchezaji huyo alifunga mabao yote mawili JKU ikiifunga Yanga 2-0 JUmamosi Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam katika mchezo wa kirafiki
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DOGO ALIYEIFUNGA YANGA MAWILI ALA MAISHA JANGWANI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top