• HABARI MPYA

  Tuesday, March 16, 2021

  LIVERPOOL YAWACHAPA WOLVES 1-0 PALE PALE KWAO MOLINEUX


  BAO pekee la Diogo Jota dakika ya 45 na ushei akimalizia pasi ya Sadio Mane jana liliipa Liverpool ushindi wa 1-0 dhidi ya Wolverhampton Wanderers katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Molineux 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAWACHAPA WOLVES 1-0 PALE PALE KWAO MOLINEUX Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top