• HABARI MPYA

    Thursday, March 11, 2021

    BARCA NA MESSI WATUPWA NJE LIGI YA MABINGWA ULAYA


    TIMU ya Paris Saint-Germain jana imelazimishwa sare ya 1-1 na Barcelona katika mchezo wa marudiano wa Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Parc des Princes Jijini Paris.
    Kylian Mbappe alianza kuwafungia PSG kwa penalti dakika ya 30 kabla ya Lionel Messi kuisawazishia Barca dakika ya saba baadaye.
    PSG inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 5-2 kufuata ushindi wa 4-1 kwenye mchezo wa kwanza Februari 16 Hispania 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BARCA NA MESSI WATUPWA NJE LIGI YA MABINGWA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top