• HABARI MPYA

  Monday, March 15, 2021

  ARSENAL YATOKA NYUMA NA KUWACHAPA SPURS 2-1 EMIRATES


  TIMU ya Arsenal jana imewaadhibu wapinzani wao wa Kaskazini mwa London, Tottenham Hotspur kwa kuwachapa mabao 2-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates, London. 
  Erik Lamela alianza kuifungia Spurs dakika ya 33, kabla ya Martin Odegaard kuisawazishia Arsenal dakika ya 44 na Alexandre Lacazette kufunga la ushindi dakika ya 64 kwa penalti 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YATOKA NYUMA NA KUWACHAPA SPURS 2-1 EMIRATES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top