• HABARI MPYA

  Ijumaa, Machi 05, 2021

  CHELSEA YAIKANYAGA LIVERPOOL 1-0 PALE PALE ANFIELD


  BAO pekee la Mason Mount dakika ya 42 jana liliipa Chelsea ushindi wa 1-0 dhidi ya mabingwa watetezi, Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfield.
  Kwa ushindi huo, Chelsea inafikisha pointi 47 baada ya kucheza mechi 27 na kusogea nafasi ya nne, ikizidiwa pointi tatu na Leicester City, wakati Liverpool sasa ni ya saba ikibaki na pointi zake 43 za mechi 27 pia   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHELSEA YAIKANYAGA LIVERPOOL 1-0 PALE PALE ANFIELD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top