• HABARI MPYA

  Wednesday, March 31, 2021

  PAULINE GEKUL NAIBU WAZIRI MPYA WA MICHEZO, ULEGA AREJESHWA MIFUGO NA UVUVI


  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samiah Suluhu Hassan amemteua Pauline Philipo Gekul kuwa Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo akichukua nafasi ya Abdallah Ulega ambaye amerejeshwa Wizara ya Mifugo na Uvuvi kuwa Naibu Waziri.
  Awali, Pauline aliyezaliwa Septemba 25, mwaka 1978 ambaye ni Mbunge wa Babati Mjini tangu mwaka 2015 – mpaka sasa alikuwa Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi tangu mwaka jana.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PAULINE GEKUL NAIBU WAZIRI MPYA WA MICHEZO, ULEGA AREJESHWA MIFUGO NA UVUVI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top