• HABARI MPYA

  Tuesday, March 09, 2021

  CHELSEA YAENDELEA KUNG'ARA,YAICHAPA NA EVERTON 1-0 DARAJANI


  MABAO ya Ben Godfrey aliyejifunga dakika ya 31 na Jorginho dakika ya 65 kwa penalti leo yameipa Chelsea ushindi wa 2-0 dhidi ya Everton kwenye mchezo Jwa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford bridge Jijini London.
  Kwa ushindi huo, The Blies wanafikisha pointi 50 baada ya kucheza mechi 28, ingawa wanabaki ya nne wakiizidi pointi nne Everton ambayo pia ina michezo mkononi 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAENDELEA KUNG'ARA,YAICHAPA NA EVERTON 1-0 DARAJANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top