• HABARI MPYA

  Friday, March 05, 2021

  ANUARY JABIR WA DODOMA JIJI AWA MCHEZAJI BORA WA LIGI KUU MWEZI FEBRUARI, KATWILA KOCHA BORA

  MSHAMBULIAJI wa timu ya Dodoma Jiji FC, Anuary Jabir ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa mwezi Februari, 2021.
  Aidha, Kocha wa Ihefu SC, Zubery Katwila ameshinda tuzo ya Kocha Bora wa Ligi Kuu kwa mwezi huo, Februari, 2021.
  Naye John Nzwalla, Meneja Bora wa Uwanja Nelson Mandela uliopo Sumbawanga mkoani Rukwa, ameshinda tuzo ya Meneja Bora wa Uwanja wa mwezi Februari.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ANUARY JABIR WA DODOMA JIJI AWA MCHEZAJI BORA WA LIGI KUU MWEZI FEBRUARI, KATWILA KOCHA BORA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top