MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Poland, Robert Lewandowski jana amefunga mabao matatu Bayern Munich ikiibuka na ushindi wa 4-2 dhidi ya Borussia Dortmund katika mchezo wa Bundesliga Uwanja wa Allianz Arena Jijini Munich – bao lingine la Bavarian likifungwa na Leon Goretzka, wakati ya Dortmund yalifungwa na kinda nyota wa miaka 20, Mnorway Erling Haaland PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment