• HABARI MPYA

  Sunday, March 14, 2021

  MAN CITY YAWACHAPA FULHAM MABAO 3-0 CRAVEN COTTAGE


  MABAO ya John Stones dakika ya 47, Gabriel Jesus dakika ya 56 na Sergio Aguero kwa penalti dakika ya 60 yaliipa Manchester City ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Fulham Uwanja katika mchezo wa Ligi Kuu ya England wa Craven Cottage Jijini London
   


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAWACHAPA FULHAM MABAO 3-0 CRAVEN COTTAGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top