• HABARI MPYA

  Jumanne, Machi 23, 2021

  TAIFA STARS KATIKA MAZOEZI YA MWISHO NAIROBI KABLA YA KUWAFUATA EQUATORIAL GUINEA MECHI YA KUFUZU AFCON MALABO

  WACHEZAJI wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakifanya mazoezi ya mwisho Uwanja wa Chuo cha Utalii, Nairobi, Kenya, kabla ya kusafiri kwenda Malabo kumenyana na wenyeji, Equatorial Guinea Machi 25 katika mchezo wa Kundi J kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwakani nchini Cameroon   • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TAIFA STARS KATIKA MAZOEZI YA MWISHO NAIROBI KABLA YA KUWAFUATA EQUATORIAL GUINEA MECHI YA KUFUZU AFCON MALABO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top