• HABARI MPYA

    Saturday, March 27, 2021

    WACHEZAJI WA AZAM FC WANAVYOENDELEA KUJIFUA KUJIWEKA SAWA KUIVAA MTIBWA SUGAR APRILI 6 CHAMAZI


    Abdalllah Kheri (kushoto) akimdhibiti beki mwenzake, Mzimbabwe Bruce Kangwa katika mazoezi ya timu hiyo kujiandaa na mechi yao ijayo ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara Aprili 6 dhidi ya Mtibwa Sugar Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam 




    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WACHEZAJI WA AZAM FC WANAVYOENDELEA KUJIFUA KUJIWEKA SAWA KUIVAA MTIBWA SUGAR APRILI 6 CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top