• HABARI MPYA

  Monday, March 15, 2021

  MAN UNITED YAICHAPA WEST HAM UNITED 1-0 OLD TRAFFORD


  BAO pekee la kujifunga la Craig Dawson dakika ya 53 jana liliipa Manchester United ushindi wa 1-0 dhidi ya West Ham United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford.
  Kwa ushindi huo, Mmanchester United inafikisha pointi 57 baada ya kucheza mechi 29, ingawa inabaki nafasi ya pili, sasa ikizidiwa pointi 14 na jirani zao, Manchester City ambao hata hivyo wamecheza mechi moja zaidi 
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAICHAPA WEST HAM UNITED 1-0 OLD TRAFFORD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top