• HABARI MPYA

  Monday, March 01, 2021

  LIVERPOOL YAICHAPA SHEFFIELD UNITED 2-0 BRAMALL LANE


  MABINGWA watetezi, Liverpool wamezinduka na kupata ushindi wa 2-0 dhidi ya Sheffield United katika Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Bramall Lane, mabao ya Curtis Jones dakika ya 48 na Kean Bryan aliyejifunga dakika ya 65.
  Kwa ushindi huo, Liverpool inapanda nafasi ya sita ikifikisha pointi 43, sasa inazidiwa pointi moja na Chelsea baada ya wote kucheza mechi 26
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAICHAPA SHEFFIELD UNITED 2-0 BRAMALL LANE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top