• HABARI MPYA

  Jumapili, Machi 21, 2021

  WACHEZAJI WA YANGA SC WALIVYOUAGA MWILI WA ALIYEKUWA RAIS WA TANZANIA, DK JOHN POMBE MAGUFULI

   

  KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Burundi, Abdul Razak Fiston akiwoangoza wachezaji wenzake na Maafisa mbalimbali kwenda kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Joseph Magufuli aliyefariki dunia Machi 17, mwaka huu leo uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam

  Mwenyekiti wa Yanga, Dk Mshindo Msolla kiwoangoza wachezaji wenzake na Maafisa mbalimbali kwenda kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Joseph Magufuli    

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WACHEZAJI WA YANGA SC WALIVYOUAGA MWILI WA ALIYEKUWA RAIS WA TANZANIA, DK JOHN POMBE MAGUFULI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top