• HABARI MPYA

  Sunday, March 14, 2021

  BENZEMA APIGA ZOTE MBILI REAL MADRID YASHINDA 2-1 LA LIGA


  TIMU ya Real Madrid jana iliibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Elche katika mchezo wa Ligi Kuu ya Hispania Uwanja wa Alfredo Di Stefano Jijini Madrid.
  Mabao ya Real Madrid yalifungwa na Karim Benzema yote dakika ya 73 na 90 na ushei, wakati la Elche lilifungwa na Dani Calvo dakika ya  61 na kwa ushindi huo timu ya kocha Zinadine Zidane inafikisha pointi 57 baada ya kucheza mechi 27 na kurejea nafasi ya pili, ikiizidi pointi moja Barcelona ambayo imecheza mechi 26
    
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BENZEMA APIGA ZOTE MBILI REAL MADRID YASHINDA 2-1 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top