• HABARI MPYA

  Ijumaa, Machi 19, 2021

  POGBA AIPELEKA MAN UNITED ROBO FAINALI EUROPA LEAGUE


  BAO pekee la Paul Pogba dakika ya 48 liliipa Manchester United ushindi wa 1-0 dhidi ya AC Milan katika mchezo wa marudiano Hatua ya 16 Bora Europa League jana Uwanja w aGiuseppe Meazza Jijini Milan, Italia.
  Kwa matokeo hayo, Manchester United inatinga Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 2-1 kufuatia sare ya 1-1 kwenye mchezo wa kwanza England
    
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: POGBA AIPELEKA MAN UNITED ROBO FAINALI EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top