• HABARI MPYA

  Tuesday, March 09, 2021

  MAN UNITED YAWAADHIBU MAN CITY, YAWAPIGA 2-0 PALE PALE ETIHAD


  MABAO ya Bruno Fernandes kwa penalti dakika ya pili na Luke Shaw dakika ya 50 akimalizia pasi ya Marcus Rashford jana yaliipa Manchester United ushindi wa 2-0 dhidi ya mahasimu wao wa Jiji, Manchester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad.
  Kwa ushindi huo, Manchester United wanafikisha pointi 54, ingawa wanabaki nafasi ya pili wakizidiwa pointi 10 na vinara, Manchester City baada ya timu zote kucheza mechi 28
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAWAADHIBU MAN CITY, YAWAPIGA 2-0 PALE PALE ETIHAD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top