• HABARI MPYA

  Thursday, March 18, 2021

  MSIBA MZITO, RAIS WA TANZANIA DK JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AFARIKI DUNIA

   CHANZO CHA PICHA,


  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli ameaga dunia.

  Kifo cha Magufuli kimetangazwa rasmi Jumatano usiku na makamu wake Samia Hassan Suluhu.

  Amesema kwamba rais Magufuli aliaga dunia katika hospitali ya Mzena iliyopo jijini Dar es Salam mwendo wa saa kumi na mbili jioni saa za Afrika Mashariki kutokana na matatizo ya moyo.

  Akithibitisha kifo hicho makamu wa rais Samia Suluhu amesema kwamba rais Magufuli alianza kuugua mnamo tarehe 14 mwezi Machi na kulazwa katika hospitali hiyo ambapo alifariki.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MSIBA MZITO, RAIS WA TANZANIA DK JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AFARIKI DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top