• HABARI MPYA

  Wednesday, March 31, 2021

  RONALDO NA DIOGO JOTA WAFUNGA URENO YAICHAPA LUXEMBOURG  URENO imeichapa Luxembourg 3-1 katika mchezo wa A kufuzu Kombe la Dunia jana Uwanja wa Josy Barthel, Luxembourg. Mabao ya Ureno yalifungwa na Diogo Jota dakika ya 45, Cristiano Ronaldo dakika ya 50 na Joao Palhinha dakika ya 80, wakati la Luxembourg lilifungwa na Gerson Rodrigues dakika ya 30.
  Kwa ushindi huo, Ureno inafikisha pointi saba, sawa na Serbia, baada ya wote kucheza mechi tatu, wakati Luxembourg inabaki na pointi zake tatu katika nafasiya tatu, ikifuatiwa na Jamhuri ya Ireland na Azerbaijan hazina pointi
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO NA DIOGO JOTA WAFUNGA URENO YAICHAPA LUXEMBOURG Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top